When autocomplete results are available use up and down arrows to review and enter to select. Touch device users, explore by touch or with swipe gestures.
#tbt 2014 - 2018: hizo ni interviews aliofanyiwa #Jasusi na media mbalimbali za kitaifa na kimataifa... kabla ya mtesi wa Jasusi, Mhesh… [Video] | Interview, Let it be, Tbt
#tbt 2014 - 2018: hizo ni interviews aliofanyiwa #Jasusi na media mbalimbali za kitaifa na kimataifa... kabla ya mtesi wa Jasusi, Mheshimiwa sana Kiseo Yusuph Nzowa hajaanzisha kampeni ya kuhakikisha hakuna media itakayoruhusiwa kufanya mahojiano na Jasusi. Watanzania waliokuwa kwenye media za kimataifa walipigwa mkwara ikabidi tu wamkwepe Jasusi. Lakini japo Jasusi ndio alikuwa mhanga mkubwa wa uharamia wa Mheshimiwa Nzowa, kuna maelfu ya Watanzania waliofanyiwa uharamia nae. Kwa mfano…