Explore Smoke Photography, Politicians and more!

Explore related topics

Welcome to Emmanuel Donkor's Blog www.Donkorsblog.com: Photo: Three missing sons of a Kenyan politician f...

Welcome to Emmanuel Donkor's Blog www.Donkorsblog.com: Photo: South African lady shows off her dad who de...

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga ambao juzi walifungwa bao 4-0 katika mechi ya marudiano baina ya yanga na AC Alger kuwania nafasi ya kucheza makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Baada ya mchezo huo kuisha kwa Yanga kutolewa katika michuano hiyo timu hiyo ilijikuta imekwama kurudi Tanzania baada ya wachezaji wake kuachwa na ndege nchini Algeria Katibu Mkuu wa Yanga Mkwasa anasema kitendo hicho cha timu yake kuachwa na ndege ni kutokana na mawasiliano mabovu na wenyeji wao…

MIX LIVE: Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Ushirika Moshi Leo May 1 2017 Nchi ya Tanzania inaunga na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa sherehe hizo zinafanyika katika viwanja vya Ushirika Wilayani Moshi katika Mkoa wa Kilimanjaro. Unaweza kufuatilia LIVE hapa kwa kubonyeza play

MAGAZETI YA LEO MEI 6/2017

MAGAZETI YA LEO MEI 6/2017

Algeria. Yanga imepata pigo lingine nchini Algeria baada ya wachezaji wake kuchelewa ndege kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Houari Boumediene jijini Algers. Wachezaji hao walikuwa wasafiri na ndege ya Uturuki kupitia Istanbul wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwassa walichelewa kufika uwanjani hapo. Wakati benchi la ufundi na wachezaji wachecha wakiondoka leo wachezaji waliochwa na ndege wanategemea kuondoka Algeria kesho au keshokutwa. Yanga imeondolewa katika mashindano…

Kiboko ya Mabishoo Harmorapa amefunguka kwa kudai kuwa yeye siyo mtu wa kupenda kiki kama baadhi ya watu wanavyodai kupitia mitandao ya kijamii. Rapa huyo amekuwa akitawala mitandao ya kijamii kila kukicha kutokana na vituko vyake huku watu wakidhani huenda akawa anapanga kufanya matukio ya namna hiyo ili azungumziwe kwenye vyombo vya habari. Akiongea na Bongo5 wiki hii Harmorapa amedai vitu vingi anavifanya katika hali ya kawaida lakini vinakuzwa na media hali ambayo amedai kwake haoni…

Za kunyapia nyapia zinadai kwamba hakuna tena mapenzi baina ya mastaa @harmonize_tz na mwanadada @wolperstylish. Shilawadu wanadai kwamba Harmonize kwasasa ana toka na mrembo flani hivi wa kizungu na tayari mrembo huyo ni mjamzito na inasemekana kibendi hicho ni cha Harmonize. Soudy Brown amewatafuta wawili hao bila mafanikio na kuamua kumvutia waya meneja waHarmonize Babu Tale. ili aweze kutupa angalau ukweli juu ya suala hilo..lakini Babu Tale akasema hayo hayamuhusu yeye ana manage…

United katika mchezo wake wa kwanza wa nusu fainali huenda ikawakosa wachezaji wake Nyota wa kikosi cha kwanza cha Mreno Jose Mario dos Santos Mourinho wachezaji hao wakiwa ni pamoja na Bailly Chris Smalling paomoja na Phil Jones. Wengine ambao wapo katika hati hati ya kukosekana ni Zlatan Ibrahimovic Marcos Rojo na Timothy Fosu-Mensah Mchezaji ghali zaidi duniani kwa sasa Paul Pogba anatarajiwa kurejea katika mchezo huo utakaofanyika nchini Hispania baada ya kukosa mechi mbili kutokana…

MAGAZETI YA LEO JUMATANO APRIL 262017 http://ift.tt/2ouDULj

Pinterest
Search