Beauty Tips

32 Pins
·
7y
Pindi unapohisi ngozi yako inamafuta mengi,tumia MADAME SOFT PERFUMED TALC Kunyonya zaidi mafuta na kuifanya ngozi yako kuwa yenye afya na nyororo. #Beauty #Cosmetics #Talc #Tanzania Beauty Cosmetics, Tanzania, Beauty Tips, Beauty Hacks, Water Bottle, Beauty
Pindi unapohisi ngozi yako inamafuta mengi,tumia MADAME SOFT PERFUMED TALC Kunyonya zaidi mafuta na kuifanya ngozi yako kuwa yenye afya na nyororo. #Beauty #Cosmetics #Talc #Tanzania
Madame Soft Perfumed Talc ni nzuri kwa familia nzima. #beauty  #cosmetics  #talc #tanzania Beauty Cosmetics, Tanzania, Beauty Tips, Beauty Hacks, Beauty
Madame Soft Perfumed Talc ni nzuri kwa familia nzima. #beauty #cosmetics #talc #tanzania
Ungependa kua na nywele zenye afya na zinazong'aa?? Basi MSUSI MURUA SPARKLING HAIR FOOD ndio bidhaa kwaajili yako #beauty  #Cosmetics #hairfood #tanzania Hair Food, Beauty Cosmetics, Tanzania, Beauty Tips, Beauty Hacks, Hair, Beauty
Ungependa kua na nywele zenye afya na zinazong'aa?? Basi MSUSI MURUA SPARKLING HAIR FOOD ndio bidhaa kwaajili yako #beauty #Cosmetics #hairfood #tanzania
Kuwa na muonekano mzuri na MADAME SOFT PERFUMED TALC  #Beauty #Cosmetics #Talc #tanzania Energy Drink Can, Beauty Cosmetics, Energy Drinks, Tanzania, Beverage Can, Beauty Tips, Beauty Hacks, Energy, Beauty
Kuwa na muonekano mzuri na MADAME SOFT PERFUMED TALC #Beauty #Cosmetics #Talc #tanzania
BOSS EXCLUSIVE DEO TALC Inatoa harufu mbaya inayosababisha bacteria na inakufanya ujiamini na kuwa safi kila siku. #Beauty #Cosmetics #Talc #tanzania Beauty Cosmetics, Tanzania, Beauty Tips, Beauty Hacks, Beauty
BOSS EXCLUSIVE DEO TALC Inatoa harufu mbaya inayosababisha bacteria na inakufanya ujiamini na kuwa safi kila siku. #Beauty #Cosmetics #Talc #tanzania
Unataka midomo yako ipendeze kwa usiku mmoja??? Paka mafuta ya mgando ya ELLA na uache usiku kucha….. Tazama tofauti kesho yake asubuhi!!! #Cosmetics #Skincare #Beauty #Tanzania Petroleum Jelly, Cosmetics Skincare, Tanzania, Jelly, Beauty Tips, Beauty Hacks, Beauty
Unataka midomo yako ipendeze kwa usiku mmoja??? Paka mafuta ya mgando ya ELLA na uache usiku kucha….. Tazama tofauti kesho yake asubuhi!!! #Cosmetics #Skincare #Beauty #Tanzania
Pakaa taratibu mafuta ya mgando ya VIOCARE kwenye nyusi za macho yako ili kuzipa mng'ao na kuziacha zenye unyevu #Cosmetics #Skincare #Beauty #Tanzania Petroleum Jelly, Cosmetics Skincare, Tanzania, Beauty Tips, Beauty Hacks, Beauty
Pakaa taratibu mafuta ya mgando ya VIOCARE kwenye nyusi za macho yako ili kuzipa mng'ao na kuziacha zenye unyevu #Cosmetics #Skincare #Beauty #Tanzania
Tumia mafuta ya mgando kwa kupakaa kidogo mdomoni kabla ya kutumia lipstiki ili isihamie kwenye meno yako #Cosmetics #Skincare #Beauty #Tanzania Petroleum Jelly, Cosmetics Skincare, Tanzania, Beauty Tips, Beauty Hacks, Beauty
Tumia mafuta ya mgando kwa kupakaa kidogo mdomoni kabla ya kutumia lipstiki ili isihamie kwenye meno yako #Cosmetics #Skincare #Beauty #Tanzania
Unataka kupodoa mashavu yako kirahisi? Paka mafuta ya Mgando ya PODOA kwenye maashavu #Cosmetics #Skincare #Beauty #Tanzania Cosmetics Skincare, Tanzania, Beauty Tips, Beauty Hacks, Beauty
Unataka kupodoa mashavu yako kirahisi? Paka mafuta ya Mgando ya PODOA kwenye maashavu #Cosmetics #Skincare #Beauty #Tanzania
SINGWA INAYOTOA UKURUTU Kwa ngozi laini na nyororo changanya vijiko 2 vya unga wa gram, nusu kijiko cha unga wa mchele,robo kikombe cha sukari, vijiko 4 vya asalina matone machache ya mafuta ya nazi.Sugua ngozi yako na mchanganyiko huu kwa dakika 3 kabla ya kuoga. Osha na maji ya uvugugu. #Cosmetics #Skincare #Beauty #tanzania Cosmetics Skincare, Tanzania, Beauty Tips, Beauty Hacks, Beauty
SINGWA INAYOTOA UKURUTU Kwa ngozi laini na nyororo changanya vijiko 2 vya unga wa gram, nusu kijiko cha unga wa mchele,robo kikombe cha sukari, vijiko 4 vya asalina matone machache ya mafuta ya nazi.Sugua ngozi yako na mchanganyiko huu kwa dakika 3 kabla ya kuoga. Osha na maji ya uvugugu. #Cosmetics #Skincare #Beauty #tanzania
Beauty Tips, Beauty Hacks, Convenience Store Products, Beauty
#tanzaniaasi moja ya juisi ya karoti kwenye chakula chako na utaona mabadiliko ya afya yako #beautytips #Mamujee #tanzania Tanzania, Beauty Tips, Beauty Hacks, Fruit, Beauty
#tanzaniaasi moja ya juisi ya karoti kwenye chakula chako na utaona mabadiliko ya afya yako #beautytips #Mamujee #tanzania
Ondoa ''sun tan'' kwa kutumia nyanya Saga nyanya moja kisha uongeze mtindi na oat meal. Pakaa usoni na uache kwa dakika 10. Rudia kila usiku kabla ya kulala  #Mamujee #Cosmetics #Beautycare #tanzania Oat Meal, Sun Tan, Tanzania, Beauty Care, Oats, Beauty Tips, Beauty Hacks, Sun, 10 Things
Ondoa ''sun tan'' kwa kutumia nyanya Saga nyanya moja kisha uongeze mtindi na oat meal. Pakaa usoni na uache kwa dakika 10. Rudia kila usiku kabla ya kulala #Mamujee #Cosmetics #Beautycare #tanzania