Pinterest • The world’s catalogue of ideas

Share on Facebook Share Share on TwitterTweet Share on Google Plus Share Share on Pinterest Share Share on LinkedIn Share Share on Digg Share Send email Mail Print Print 0 Total Shares Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli ametoa miezi miwili kwa wafanyakazi wa bandari jijini Dar es Salaam kununua mashine...

Makala yangu katika RAIA MWEMA toleo la 21.09.16: "Kumkosoa au kumsifu Magufuli sio uhaini" NIANZE makala hii kwa kurudia salamu zangu za rambirambi kwa vifo vya Watanzania wenzetu 17 na pole kwa majeruhi 440 kutokana na tetemeko la ardhi maeneo ya Ukanda wa Ziwa hususan mkoani Kagera. Pia ningependa kutumia fursa hii kumshukuru Diwani William Rutta wa Kata ya Ishozi wilayani Missenyi mkoani Kagera kwa kutumia muda wake kipindi hiki kigumu kunitumia barua pepe kuhusu janga hilo la…

1

Makala yangu RAIA MWEMA Toleo la 28.09.2016: Suala la ndege mpya na Utanzania wetu TANZANIA ina matatizo kadhaa lakini tatizo ambalo sikuwahi kulitambua awali ni hili linalozidi kupanuka la chuki ya baadhi ya Watanzania wenzetu dhidi ya nchi yetu. Naam hakuna neno stahili zaidi ya chuki pale unapokutana na Mtanzania anafurahi kusikia kuwa majirani zetu wa Malawi wameanza chokochoko kuhusu mpaka kati yetu na nchi hiyo. Au unakutana na mtu anayefurahia taarifa za kuyumba kwa uchumi wetu…

1

Makala yangu RAIA MWEMA la 12.10.16: Siafikiani na amri ya PM Majaliwa kuhusu yunifomu chakavu NIANZE makala hii kwa kueleza masikitiko yangu kutokana na tukio lililoripotiwa wiki iliyopita ambapo walimu wanafunzi kadhaa walionekana katika video wakimwadhibu mwanafunzi katika namna isiyofaa na isiyokubalika kabisa. Laiti mtu akiiona video husika bila ya maelezo anaweza kudhani mwanafunzi aliyekuwa akipigwa na walimu hao wanafunzi alikuwa mwizi. Pamoja na kukerwa mno na kitendo hicho…

Five people appeared before a Tanzanian court yesterday charged with insulting the country’s President John Magufuli on social media. The five, separately charged with five offences of sharing offensive content targeting the President and the Police

from Telegraph.co.uk

Tanzania president John Magufuli helps sweep the streets outside state palace

Tanzania president John Magufuli helps sweep the streets outside state palace - Telegraph

1

A series of decisions taken by Tanzania under President John Magufuli have hit Kenya where it hurts most.

from Telegraph.co.uk

Tanzania president John Magufuli helps sweep the streets outside state palace

Tanzania president John Magufuli helps sweep the streets outside state palace - Telegraph

John Magufuli addresses delegates after the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) elected him as the presidential candidate for the October 25 election in the capital Dodoma, July 12, 2015. REUTERS/Stringer

from BBC News

Tanzania's Magufuli scraps independence day celebration

Tanzania's newly elected President John Magufuli cancels independence day celebrations, and orders a clean-up campaign instead.