When autocomplete results are available use up and down arrows to review and enter to select. Touch device users, explore by touch or with swipe gestures.
Jana kocha wako alipata furaha kubwa baada ya kutumiwa ujumbe na wamiliki ya mtandao wa kijamii wa picha sogezi wa YouTube kwamba chaneli yake iitwayo JasusiTV umefikisha waliojisajili (subscribers) 25,000.
Vizuri Hupatikana Bure, Changamoto ni Kuvitambua
Jana kocha wako alipata furaha kubwa baada ya kutumiwa ujumbe na wamiliki ya mtandao wa kijamii wa picha sogezi wa YouTube kwamba chaneli yake iitwayo JasusiTV umefikisha waliojisajili (subscribers) 25,000.
Jinsi ya Kutumia Mfungo wa Kwaresma na Ramadhani Kujifunza Meditation
Kijarida hiki kinapenda kuwaomba samahani kwa kutowaletea machapisho yoyote tangu kuanza kwa mwaka huu 2025.
Faida za HOFU
Hofu ni hisia ya kiasili ambayo mara nyingi huonekana kuwa hasi, lakini ina umuhimu mkubwa katika maisha ya binadamu na viumbe wengine.
Faida za HOFU
Hofu ni hisia ya kiasili ambayo mara nyingi huonekana kuwa hasi, lakini ina umuhimu mkubwa katika maisha ya binadamu na viumbe wengine.
Kozi ya Wiki Nane ya TAHAJUDI (meditation): Wiki ya Kwanza - Jinsi ya Kudhibiti Stress
Karibu katika kozi hii ya wiki nane ya TAHAJUDI (meditation).
Kozi ya Wiki Nane ya TAHAJUDI (meditation): Wiki ya Tatu - Jinsi ya Kukabilina na Hasira
Karibu katika kozi hii ya wiki nane ya TAHAJUDI (meditation).
Jinsi Akili Yako Inavyokudanganya Kuepuka Kile Kinacho Muhimu Zaidi
Akili ni mtaalamu wa kutafuta vitu vya haraka vya kukufanya usahau, hasa unapokumbana na hali ya kuchoshwa au upinzani.
Changamoto unazozishukuru
Maisha yangekuwa mazuri sana kama yasingekuwa na changamoto.
Mminiwie radhi kocha wenu... kwa ajili yenu
Nadhani kwa ambao mmekuwa subscribers wa kijarida hiki kitambo, mnafahamu kwanini natumia neno “kocha wenu”.